Video Na.1"Achanachana Bajeti ya Upinzani Bungeni"
Hii
ni Video ambayo Mh:Mwigulu Nchemba aliweka Historia kwa Mara ya kwanza
ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akichangia Bajeti ya
Nchi Mwaka 2012/2013.Hii Video inatajwa kuwa ndio Iliweka Gumzo kwa
Wanasiasa Nchini hasa Upinzani.Inasemekana Upinzani walianza hapa
Kutambua Moto wa Mwigulu Nchemba kwenye Siasa.
VIDEO 2:
"Ahojia Uandishi wa Tarakimu kwenye Bajeti ya Upinzani"
Kwenye Video hii Mh:Mwigulu Nchemba anahoji Mapungufu Makubwa ya
Uandishi wa tarakimu kwenye Bajeti ya Upinzani,Hususani Kushinda kuandika Bilioni kwa tarakimu.
VIDEO: 3.
"Akichangia Bunge la Katiba 2014.Ahoji Mbowe na Jusa Kutaka Kupitisha Swala la Ushoga KimyaKimya"?.
Kwa mara ya kwanza akichangia Kweneye Bunge Maalumu la Katiba Mwaka 2014,Mh:Mwigulu Nchemba aamua kuweka wazi kuwa Kufanya mambo kwa Siri kuna watu wanataka Kupitisha Mambo Mabaya kwa Taifa Kimya kimya likiwamo Ushoga.>Angalia Video.
Video Zipo Nyingi alizochangia Bungeni,Lakini hizi ni baadhi tu zilizotikisa Nchini na Uga wa Siasa.
Na.Mtanzania Mzalendo.
0 comments: