Thursday, 25 August 2016

Thursday, 14 July 2016

Wednesday, 13 July 2016

VIDEO ,AKOTHEE SONG YUPO MOYONI
Akothee ni msanii wa kwanza wa Kenya kufanya kolabo na mwimbaji Mtanzania Diamond Platnumz kwenye ile single yake iitwayo Sweet Love, sasa time hii ametuletea hii video mpya ya single yake iitwayo Yuko moyoni.

Thursday, 30 June 2016

Monday, 9 May 2016

Tuesday, 3 May 2016

Sunday, 1 May 2016

Video: Joti aja na vituko hivi Youtube

Wasanii wa vichekesho nchini wameanza kuamka na kutambua kuwa Youtube ni mtandao unaoweza kuwapa mkwanja mzuri kama wakiutumia ipasavyo. Joti ameamua kuja na series za vituko vyake ambavyo anaweka Youtube kwaajili ya kuvunja mbavu mashabiki wake. Check hiyo video ya kwanza.

Sunday, 24 April 2016

Thursday, 21 April 2016

Video: Rapper Young Dee awehuka wakati anafanyiwa interview!


post-feature-image

Video ya mahojiano hayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii nawengi waliyo iona hiyo wamejiuliza kama atakuwa mzima wa akili au amewehuka!

Young Dee awashangaza mashabiki wake baada yakuonekana amewehuka wakati akifanyiwa mahojiano ya TV. Kwenye show ya eNewz inyorushwa na EATV, Young Dee anaonekana kuongea mambo yasio eleweka na kuondoka kwenye mahojiano hayo kisha kwenda kumsalimia rafiki yake.
Video ya mahojiano hayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii nawengi waliyo iona hiyo wamejiuliza kama atakuwa mzima wa akili au amewehuka!

Friday, 15 April 2016

Thursday, 14 April 2016

Monday, 14 March 2016

Sunday, 31 January 2016

Saturday, 30 January 2016

Friday, 3 July 2015

KCEE FT DIAMOND PLATNUMZ SONG.LOVE BOAT



Siku chache zilizopita msanii Kcee kutoka Nigeria aliachia wimbo wake mpya uitwao Love Boat aliomshirikisha  superstar kutoka Tanzania Diamond Platnumz.

Leo nina good news kwa ajili yako mtu wangu, video ya Love Boat imetoka tayari. Nimekusogezea video hiyo hapa chini, bonyeza Play kuitazama.