Video ya mahojiano hayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii nawengi
waliyo iona hiyo wamejiuliza kama atakuwa mzima wa akili au amewehuka!
Young Dee awashangaza mashabiki wake baada yakuonekana amewehuka
wakati akifanyiwa mahojiano ya TV. Kwenye show ya eNewz inyorushwa na
EATV, Young Dee anaonekana kuongea mambo yasio eleweka na kuondoka kwenye mahojiano hayo kisha kwenda kumsalimia rafiki yake.
Video ya mahojiano hayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii nawengi
waliyo iona hiyo wamejiuliza kama atakuwa mzima wa akili au amewehuka!
0 comments: