...Diamond na video vixen huyo walianza kutoka muda, toka mwaka jana,
Inasemekana imefikia mpaka mrembo huyo amejichora tattoo ya...
Kuna siri nzito kati ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au
baba Tiffah na mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Irene ‘Lynn’ ambapo
watu wa karibu wanasema ‘wanatoka’.
Katika story zinazo endelea kuwa Irene amekuwa akishinda kwenye studio za Wasafi inayomilikiwa na Diamond, iliyopo Sinza Mori jijini Dar es salaam. Yasemekana Diamond, Esma na mama Diamond wanampenda sana Irene.
Chanzo cha habari hii kinasema Diamond na video vixen huyo walianza kutoka muda, toka mwaka jana, Inasemekana imefikia mpaka mrembo huyo amejichora tattoo ya 'Simba' mgongoni kwake ambalo ni jina jingine analojiita Diamond

0 comments: