Haya ni moja ya
Makutano makubwa sana Huko Swaziland ambako Mfalme Muswati wa III
husanya kila mwanamke kila anapotaka kuongeza mke yaani kuongeza malkia
katika ufalme wake... Haya ni matukio yanayorikodiwa kila Mwaka ifikapo
Septemba pindi mfalme huyo anapotaka kuongeza mke.
Kabila hizi kwa Maarufu
hujulikana kama "SWAZI".. mfalme hukusanya wanawake walio bikira kila
Pembe ya Ufalme wake na kuwaweka mbele ya halaiki ili kuchagua mke au
malkia. Tazama baadhi ya Picha hapo chini

0 comments: