Umaarufu mwengine wa ajabu sana binti
huyu inasemekana alifanya kila mbinu apate nafasi hata ya kumbusu tu
davido , na alipoipata hakufanya makosa wakati wana kiss alijipiga picha
nakusambaza picha hiyo kila kona kwenye mitandao. Daahhh hatari
sana..!!
Home
Entertainment
BINTI ALAZIMISHA UMAARUFU KWA KUJIPIGA PICHA AKIKISS NA MSANII DAVIDO NA KUZISAMBAZA MTANDAON
0 comments: