Hii ni Exclusive interview ya Dogo Janja on AyoTV
ambayo ameamua kusema ya moyoni kuhusu kilichotokea baada ya kuondoka
kwenye kundi la Tiptop Connection pia akaambatanisha na maamuzi yake ya
sasa.
Hakuondoka Tiptop vizuri baada ya kumshutumu Madee kutompa pesa za show alizokua anafanya na kwamba alikwenda hata kwenye account yake ya benki na kukuta pesa zote zimechukuliwa.

0 comments: