Akizungumza na Global TV Online, Linah alisema kwa kuwa anapenda sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo maana mara nyingi hupendelea kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake na jinsi ilivyo mizuri. “Ukweli huwa nachizika na upaja wangu. Napenda sana miguu yangu, ni mizuri ndiyo maana nagonga vimini au mpasuo ili mguu wangu uonekane vizuri,” alisema Linah.
Home
Entertainment
PITIA HAPA UONE KAULI YA KIPUMBAVU YA HUYU.KIOO CHA JAMII"NAPENDA KUVAA VIMINI NA MIPASUO MIKALI ILI UPAJA WANGU UONEKANE VIZURI MAANA NACHIZIKA NAO SANA" LINAH
0 comments: