Hit Maker wa Pombe Yangu na Tema Mate Tuwachape leo ametoa Exclusive picha kupitia millardayo
kuhusu mjengo wake ambao ipo Mbezi ya Kimara eneo la Kimara Mwisho
ambalo kwa maelezo ya Madee mwenyewe amesema nyumba hii imechukua kama
miaka 5 mpaka kuimaliza.
Kwa sasa nyumba hii imemalizika na anaishi mlinzi tu na ni nyumba ya
vyumba 4 Dinning na Sitting Room kuhusu Gharama kamili ya mjengo huu
Madee amesema hana kumbukumbu kamili ingawa kwa haraka haraka amedai ni
kama Milion 100 za Kitanzania.
Source: Millard Ayo
0 comments: