Habari kamiliiiiiiiii na ya uhakika
kwa masikitiko makubwa sana naona
ongezeko kubwa la wanaume ambao wanakosa sifa za kua wame bora ndani ya
familia zao kwa sababu ya kutoyatambua majukum yao kama baba wa familia,
wengi wa wanaume wana ndoto za kufanikiwa maisha kupitia kazi au
mishahara ya wake zao na ikifikia hapa jua wewe haufai kuishi na
mwanamke, jitahidini kujipanga , acheni uvivu, vumbua fursa za kiuchumi
na uwe na mipango endelevu hapo utakua ni husband material.
0 comments: