Je Wewe Unajua Kuigiza Sauti Ya Kanumba? Basi Pata Mchongo Hapa.
UNAJIAMINI
KWAMBA UNAWEZA KUIGIZA SAUTI YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA? ANATAFUTWA
MMOJA ATAKAYEWEZA KUFANYA HIVYO KWA AJILI YA UPCOMING MOVIE YA 3D
ANIMATION YA THE LATE KANUMBA KARIBU OFISI ZA KANUMBA THE GREAT FILMS,
SINZA MEEDA. AU PIGA SIMU NAMBA 0654 020 703
0 comments: