Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini wameanza kutumia style 
mpya ya kugundisha nywele aka wiving  katika vichwa vyao kwa kutumia 
gundi pasipo kujua mazara yake.
Watafiti na Madaktari kutoka bara ya ulaya wamethibitisha kuwa gundi 
hizo zinazotumiwa huwa zinakemikali ambayo zinaleta adhari kubwa katika 
mwili wa mwanadamu hususani kansa.

Mpaka sasa madaktari bingwa kutoka ulimwenguni kote bado hawajapata uvumbuzi wa dawa ya kutibu kansa zaidi tu ya kutumia njia ya kuchomelea mionzi ili mgonjwa apate ahueni.
 

 
 
 
 
 

0 comments: