|
Lulu |
Star machachari kunako tasnia ya filamu nchini Elizabethn Michael "Lulu"
ameviomba vyombo vinavyohusika na ukuzaji na utoaji wa vibali katika
tasnia ya filamu nchini vikwemo BASATA na Bodi ya Filamu Tanzania
visibane sana kuhusu wasanii kuvaa nguo fupi katika filamu kwasababu
hawafanyi hivyo muda wote ila hutokea kama story imetaka muigizaji avae
mavazi ya aina hiyo. Vile vile Lulu amesema kuwa mabadiliko ya mazingira
na wakati yanahusika kwa wasanii kubadilika kimavazi kwasababu jamii za
wakati huo ni tofauti na sasa
. "
Wanasema
hatufuati maadili wakati kuna movies ambazo zipo theatre na watu
wanaangalia hazina maadili, wao wanataka tufanye vitu kwa kudanganya
wakati sasa hivi tuko dunia ambayo tuna takiwa tuweke vitu wazi,
wasibane sana" alisema Lulu wakati akizungumza na GPL
0 comments: