Homa
ya Dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye
virus vya ugonjwa huu. Mbu hupata virusi vya homa ya Dengue anapomuuma
mtu mwenye ugonjwa huu.
DALILI:
Homa kali ya ghafla
Kuumwa kichwa hususani sehemu za machoni
Maumivu makali ya viungo na misuli ya mwili
Kichefuchefu au kutapika
Kutokwa na damu kwenye fizi, na sehemu za uwazi za mwili.
Uchovu
ukimsikia ndugu au jamaa yako anasema kuwa na dalili hizi muwahishe hospitali mapema.
SAMBAZA UJUMBE HUU ILI WATU WENGINE WAJUE
0 comments: