Mungu ni mungu, atabaki kuwa Mungu. Mungu ni
yeye yule jana leo na hata milele. Raha au shida hazibadilishi ukuu wa
Mungu. kwa kila jambo ninamshukuru Mungu na wala sina sababu ya
kujitetea machoni pa watu kwani aonaye sirini ni Mungu pekee.
pamoja kwamba Yesu alifufuka, bado walisema hakufufuka ila wanafunzi
wake walimwiba. hebu tumwangalie Yesu pale msalabani na kila mmoja
ajiangalie kama amesimama ili asije akateleza. Yesu anarudi upesi
HAYA NDO MANENO YA FLORA MBASHA KWA WATANZANIA JUU YA KASHFA YA MUMEWE
published on 00:05:00
leave a reply
0 comments: