Madame Wema Sepetu ameonesha kuwa na kiwaluwalu cha safari ya kwenda Marekani kwenye tuzo za BET ambazo mpenzi wake Diamond ni miongoni mwa wanamusiki kutoka Afrika walioteuliwa kushindania tuzo hizo kwa mwaka 2014, zitakazofanyika tarehe 29 mwezi ujao.....
Kiwaluwalu
hicho amekionyesha hapo jana kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM...baada
ya kuweka picha ya ndungu zake walioko Marekani na kusema amewakumbuka
sana ila hivi karibuni wataonana kwani tuzo za BET zimekaribia.
0 comments: