Thursday, 24 April 2014

CHECK BEYONCE ALIVYOMJIBU DIAMOND PLATNUMZ MBOVU ALIPOMUOMBA WAFANYE COLLABO


Hii Habari nimeisoma katika Gazeti moja Jana kuwa Diamond anahangaika kuwasiliana na Beyonce ili wafanye Wimbo Pamoja , Inasemekana Diamond alitafuta Number ya Beyonce kwa bahati nzuri akaipata na kumpigia simu na kumweleza anachotaka ila Beyonce akamkatiza na Kumuuliza huna Manager ? na Kisha kukata simu ..kwani Maswala ya Kazi Kwake lazima yapitie kwa Manager akiwa na Maana kuwa Manager wa Diamond Awasiliane na Manager wa Beyonce ndio Waanzia hapo kama kikieleweka poa , Mhh Goodluck Brother kama ni kweli na Ufuate Protoco
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: