Click HAPA kupakua wimbo wa Chipukizi "Athumani" kwa jina "Fumbua Macho"
,wimbo wa kuwahamasisha watanzania waamke na kutambua kuwa maendeleo ya
Nchi yanahitaji sana umakini wa Raia wazalendo dhidi ya wanasiasa
wabadhirifu na ngoma hii ni bongofleva category toka Noizmekah Studios
Arusha, na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Athumani kwa Nambari
+255 764 561 232 powered by www.vmgafrica.com
--
Athumani-Fumbua Macho (NOIZ) http://goo.gl/SKfxwu
0 comments: