Monday, 30 June 2014

HUYU NDIE MSANII ALIYEMFANYA PRODUCER NISHER KUFIKA ALIPO JAPO YEYE SAIVI HAONI THAMANI YAKE KWELI SHUKRANI YA MAPUNDA MATEKE FULL STORY

 Ukweli ni kwamba Nisher alikuwa hawajui Weusi kama yeye asingekuwa rafikim na Gntriez.Gentriez ndi aliyemkutanisha nisher na weusi na Nisher kuaznza kushoot baadhi ya video za weusi bure ili apate umaarufu chap ....STORY INAKUJA DOCUMENTARY FULL YOTE
Hapa nisher akiwa anashoot video ya gentriez kabla hata ya kujuana na weusi ambapo gentriez ndo alimkutanisha na Joh makini


Arusha boy akimpongeza Nisher baada ya kuchukua tuzo

GENTRIEZ NDANI YA KUNDI LA WEUSI

nisher baada ya kuunganishwa na weusi na kuanza kumtenga Gentriez


Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: