Anakuja msanii Jiti taraa akimshirikisha mkali wa RnB Chriss J kwa
pamoja wakiiwakilisha Arusha katika ramani ya Muziki na ngoma inakwenda
kwa jina "Wangapi" ikiwa ni mkono toka DM Records chini ya Producer Reggy, click HAPA kudownload na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Jiti Taraa kwa Nambari +255 powered by www.vmgafrica.com
KITU KIPYA PATA TIME KUKISIKILIZA Jiti taraa ft Chriss J-Wangapi (DMRecs) .....REDIO YA WATU NDANI CLOUDS REDIO
published on 02:41:00
leave a reply
0 comments: