Wednesday, 16 July 2014

STEVE NYERERE ALIA NA WATU WANAOMZUSHIA KUWA YEYE NI SHOGA. HICHI NDICHO ALICHOSEMA



Mwenyekiti wa bongo movie Unity, Steve Nyerere amechukizwa na watu wanaotumia mitandao vibaya na kwa kumzushia kuwa ni shoga.


Steve Nyerere kupitia akaunti yake ya facebook ameandika:
Napenda kuchukua fursa hii kuongea machache na kama mtaboa mtu naomba samahani najua binadamu tumezaliwa tofauti sana kuna wale wanaogopa zambi na kunawale wanopenda zambi mimi daima nasema izo ni changamoto tuuu ok nimepata taarifa umu umu kwenye mitandao yetu ya kijamiii hususani huuu kwamba kuna binti anaitwa zainab ananichafua na kuniandika mambo ambayo ayana tija kwangu. Nazani ata kwake kwamba mimi shoga anauhakika hahahahaha nimecheka sana kupata izi taarifa nataka kuwapa taarifa ndugu zangu kuna msemo unasema mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe na mkanya mara moja aache mara moja kwani naimani anapoteza muda tu habari hizo si zakweli kabisa ila namtakia laheli kwahili jambo analonitendea mimi nasema namwachia mola akumbuke nafamily mke na watoto mama dada zangu kiukweli najisikia vibaya sana mi nasema asante”
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: