Engineer kwa taaluma ila ana miradi mingi kama vile anamili garage zaidi ya tatu ndani ya jji la Arusha ,stationery ,mbali na kai zake binafsi anafanya kazi ndani ya kampuni ya hanspaul ambapo mshahara wake hatuwezi kuutaja Studio ya kurekodi nyimbo za injili inayoitwa MKUNDI STUDIO iliyopo jijini Arusha
Studio ya mkundi production
Pia anasimammia kazi za wsanii mbalimbali akiwemo mwanadada Esther Bukuku amabye ni mwimbaji mzoefu tokea jijini dar ambaye sasa yupo moshi
Esther Bukuku akiwa ndani ya studi za MKUNDI PRODUCTION |
Moja ya kazi ambazo ufanywa ndani ya MKUNDI PRODUCTION |
Logo ya kampuni yake |
Eng Carlos Mkundi katika moja ya picha akiwa amepiga katika studio yake anayomiliki jijini Arusha maeneo ya njiro .anamiliki kampuni mbili ndania ya arusha za kupiga picha yani photo shop |
Akiwa amepozi kwenye moja ya mgari amabyo kwa thamani najua watanzania waliowengi wanaijua bei |
Akiwa katika moja ya mafundisho ambayo utoa kwa vijana juu ya ujasiria mali jijini Mwanza |
Nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la WEWE NI MUNGU ambayo video yake imegharimu million mbili na laki tatu iliyofanywa jijini Arusha ambayo anategemeea kuizindua November
0 comments: