Barnaba Boy ameachia wimbo mpya uitwao ‘Wahalade’, Ambao unaonekana kufanya vizuri katika chat mbali mbali za Radio na tayari amemaliza kushoot video yake ambayo ndani ataonekana mama wa mwanaye Mama Steve.
Video ya wimbo huo imeongozwa na director Nick Dizzo wa Focus Film. Tazama baadhi ya picha za wakati wa utengenezwaji wa video hiyo.
0 comments: