Licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana hafifu kwa ajili ya zoezi la ufukuaji wa vifusi katika tukio hilo la kufukiwa kwa tu wawili vijana katika eneo hilo walifanya shughuli kwa hari. |
Hatimaye mwili wa kijana huyo ukaonekana. |
Shughuli za kufukua kifusi katika eneo hilo ukaendelea . |
hatimaye mwili ukaopolewa toka katika kifusi. |
Hivi ndivyo vijana wa eneo hilo wakawa wamefanikisha kupatikana mwili wa mwenzao. |
Mwili wa kijana Shukuru Temu ukishushwa toka katika machimbo ya Rongoma . |
Wananchi katika kijiji cha Masaera wakiwa wamezunguka mwili wa marehemu Shukuru baada ya kufikishwa barabarani toka kwenye machimbo ya Rongoma. |
0 comments: