Wednesday, 16 March 2016

Picha: Christian Bella na mke wake wapata mtoto wa kiume nchini Sweden

Mke wa muimbaji na kiongozi wa Malaika Band, Christian Bella amejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kuipatia familia hiyo mtoto wa tatu. Bella ana mtoto anaitwa Jordan (7) Hance (2) pamoja na Christopher ambaye amezaliwa hivi karibuni.

Kupitia instagram, Bella ameandika "Asante mungu kwa kunipa mtoto nina furaha sanaaa. Alizaliwa jana usiku , Hospital karolinska ,stockholm sweden , karibu sana my boy christopher penda wewe sanaaa"

Mke wa Christian Bella anaishi nchini Sweden.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: