Baadhi ya Washiriki wa Shindano la Miss Mbeya 2016 wakiwa katika Pozz la Pamoja wakipata Taswira Mwanana...
Washiriki
wa Shindano la Miss Mbeya 2016 wakiendelea kupata Taswira kutoka kwa
Mpiga Picha Mahiri Nyanda za Juu Kusini Mr.Pengo hayupo Pichani...
Washiriki
wa Shindano la Miss Mbeya 2016 wakiendelea Kujinoa kuajiri ya Shindano
la kumpata Miss Mbeya 2016 linalo letwa kwenu na Redio
Dream FM 91.3 Mbeya kwa kushilikiana na Michuzi Blog, Pepsi, Ufunuo
Clinic, Access Computer Limited, Viva Night Club, Milo Group Limited,
New karim Hardware, City Pub, Paradise Inn Hotel, Club K-Mo, Ace Classic
Wear, Ally Rich Sanaa Art, Mzee wa chimbo blog, New Mama Land Pub,
Beaco Resort na Manyanya Inn Hotel and Tours
0 comments: