Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 headlines za taarifa za kifo cha mwimbaji mkongwe kutoka Congo DRC Papa Wemba alifariki baada ya kuanguka jukwaani akiwa anatumbuiza huko Abidjan Ivory Coast.
Sasa leo April 25 2016 msanii wa Tanzania Diamond Platnumz
anaingia kwenye list ya wasanii walioguswa na msiba huo ambapo kupitia
kwenye mtandao wake wa instagram alipost video fupi akiwa na marehemu
Papa Wemba wakitayarisha wimbo ambao Papa Wemba alimshirikisha Diamond
alipotembelea Ufaransa.
0 comments: