Pichani
ni Mshiriki wa Miss Mbeya 2016 Anitha Patric, Redio Dream FM 91.3 Mbeya
kwa kushilikiana na Michuzi Blog, Pepsi, Ufunuo Clinic, Access Computer
Limited, Viva Night Club, Milo Group Limited, New karim Hardware, City
Pub,mzee wa chimbo blog, Paradise Inn Hotel, Club K-Mo, Ace Classic Wear, Ally Rich Sanaa
Art, New Mama Land Pub na Manyanya Inn Hotel and Tours wanakuletea Miss
Mbeya 2016, Anaetarajiwa kupatikana Ijumaa ya Tarehe Sita ya Mwezi wa
Tano (06-05-2016) Mwaka huu Paradis Inn Hotel, Pia kutakuwa na Burudani
Mbalimbali ikiwemo Shoo kali kutoka kwa Mwanamuziki Izzo Bisnes na
wasanii wanaofanya vizuri Nyanda za juu Kusini.
Eunice John moja kati ya Washiliki wa Miss Mbeya 2016
Julitha Mponela moja kati ya Washiliki wa Shindano la kumpata Miss Mbeya 2016.
Afrodisia Chapa miongoni mwa Washiliki wa Miss Mbeya 2016.
Emiliana Abdalla
Agness Boliver
Juliana Gilbet
Aziza Lyamuya
Shalon Lugwe
Nancy Matta
Praxeda Geofrey
0 comments: