MKUU WA MKOA WA MBEYA,AMOS GABRIEL MAKALLA |
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw, AMOSI GABRIEL MAKALA amewataka wananchi jijini Mbeya kuwa na subira katika kupata marejesho wa kuwabaini wahusika wa ubadhilifu wa fedha zaidi ya milioni 489 kwa ajili ya ujenzi wa soko la mwanjelwa.
Mkala ameyasema hayo hii leo katika mahojiano na kipindi cha check pont ambapo amesema kufuatia siku tatu alizopewa tayari taarifa imeshawasilishwa kwa waziri mkuu hivyo wananchi watanatakiwa kuvuta subira .
Aidha amesema licha ya kuwasilisha taarifa hiyom kwa waziri mkuu bado mkaguzi mkuu atahakikisha anachunguza kwa kina lengo ikiwa ni kubaini wahusika wa fedha hizo na kuweza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa haki .
Pia makala amewataka wananchi wa jiji la mbeya kutoa ushirikiano katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo lengo ili kuweza kujenga uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla . WAWEZA
WAWEZA MSIKILIZA HAPA RC,MAKALLA
0 comments: