Huzuni imetanda katika mtaa mmoja wa Tabata jijini Dar es
salaam baada ya mtoto wa miaka 3 kufariki katika mazingira ya
kutatanisha.Mtoto huyo ambaye ni wakiume alipotea na baada ya kutafutwa
sanaa alikuja kupatikana chooni akiwa na jamaa mmoja huku mtoto akiwa
hana nguo.
Wananchi walianza kumshushia kipondo jamaa huyo mkatili kabla ya kumpeleka polisi huku mtoto akikimbizwa hospitali bila kujua kwamba tayari alikuwa ameshafariki.
Uchunguzi wa daktrai ulionyesha kuwa hakuna kitu chochote kibaya ambacho mtoto alichofanyiwa lakini inasemekana njemba hilo lilimkaba mtoto ili asipige kelele.
Huzuni imetanda mtaani hapo huku wazazi wakiwa nahofu kubwa kwa watoto wao hata kuwaruhusu kwenda nje kucheza wanaogopa.Kinachoumiza zaidi ni kwakuwa jamaa huyo ni wa hapohapo mtaani na watu wanamjua.

0 comments: