UVUNJAJI SHERIA WASOMI
published on 23:26:00
leave a reply
Wasomi asilimia kubwa ndio wanao ongoza kuvunja sheria pia ni madikteta uchwala, wana saini mikataba wao wenyewe na kulalamika wao wenyewe kweli wasomi wanacheza na akili za watu hasa ambao wana akili kidogo kuweni makini wananchi na wasomi
0 comments: