Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Kapteni Mstaafu George Mkuchika (kushoto) akiwasili chuo cha Chuo Cha
Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mtwara ikiwa ni mwendelezo wa
ziara zake za kutembelea matawi ya chuo hicho nchini kulia ni
Mkurugenzi wa TPSC Tawi la Mtwara Dkt. Emmanuel Shindika,ziara hiyo
ilifanyika mwishoni mwa wiki
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Kapteni Mstaafu George Mkuchika (katikati) akipata maelezo kutoka
Mkurugenzi wa TPSC Tawi la Mtwara Dkt. Emmanuel Shindika (kushoto) akiwa
katika moja ya madarasa ya chuo hicho tawi la Mtwara ikiwa ni
mwendelezo wa ziara zake za kutembelea matawi ya chuo hicho nchini,
ziara hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.Wengine pichani ni watumishi wa
chuo hicho.
Kwaya
ya TPSC tawi la Mtwara ikitoa burudani mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu
George Mkuchika (Hayupo pichani), aliyefanya ziara fupi chuoni mwishoni
mwa wiki sambamba na kupokea taarifa ya tawi na kusikiliza changamoto za
watumishi na wanachuo.
Baadhi
ya wanachuo wa Chuo cha Utumishi wa Umma TPSC tawi la Mtwara,
wakimsikiliza kwa makini waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika (Hayupo
pichani), aliyefanya ziara fupi chuoni hapo mwishoni mwa wiki sambamba
na kupokea taarifa ya chuo na kusikiliza changamoto za watumishi na
wanachuo.
0 comments: