Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini na afrika
mashariki Gurumo afariki dunia,.
Pole ziwafikie wapenzi wote na mashabiki!!
R.I.P Gurumo.
Heaven on Earth 09:22 Today
wewe kweli...........
jamani R.I.P Gurumo
Heaven on Earth 09:23 Today
kafariki saa ngapi
chakii 09:23 Today
By Heaven on Earth :
kafariki saa ngapi
saa 8 mchana!
culbby 09:24 Today
R.I.P Ngurumo
MTAZAMO 09:27 Today
Hii habari imethibitishwa?
Majigo 09:33 Today
mi sijui huyo ndo nani jamani?
chopeko 09:42 Today
Dah apumzike kwa amani.
Souleyhb 09:44 Today
Mzee wetu Muhudin Gurumo ametutoka leo saa nane
mchana,
Attached: uploadfromtaptalk1397396678111.jpg (93.9
KB)
h120 09:45 Today
R.I.P mzee
Souleyhb 09:46 Today
Mungu ailaze roho yake pema peponi,
Attached: uploadfromtaptalk1397396735641.jpg (106.9
KB)
marejesho 09:47 Today
R.I.P Mzee wetu
Dazzle 09:49 Today
Habari za hivi punde zinasema kuwa Nguli wa mziki wa
bance Mzee wetu Muhidim Ngurumo amefariki dunia
mchana siku hii ya leo.
Chanzo.Uhuru Fm
ommymbwambo 09:49 Today
R.I.P maalim Gurumo.
Heaven on Earth 09:51 Today
Apumzike kwa amani
mfwimi 09:53 Today
Amefia wapi naomba uhakika maana Kama kusingiziwa
mzee watu kumeanza kitambo
mfianchi 09:53 Today
Kwa kumuomboleza Mzee Gurumo nitakesha kwa
kuzipiga nyimbo zake kuanzia Nuta
jazz,Juwata,Ottu,Sikinde ,OSS ,hakuna kulala,RIP gwiji la
muziki Tanzania
Zamiluni Zamiluni 09:53 Today
Inna LiLaah Waina iLLAihi Rajioun ..........OOh very sad !
si hivi juzi aliStaafu usanii huu !!
Mungu amlaze pema POLENI wafiwa. amin
Dingswayo 09:53 Today
Habari nilizozipata sasa hivi kupitia whatsapp ni kuwa
Muhdin Ngurumo amefariki.
sifongo 09:54 Today
Huzuni tena hasa kwa washabiki wake,apumzike kwa
amani.......
Page 1 of 4 1 ...
Copyright JamiiForums.com
Log in
2 3 Last
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
Reply
2 3 Last
Up
MAONI YA WATANZANIA JUU YA NGURUMO TOKA JAMII FORUM
published on 07:43:00
leave a reply
0 comments: