Monday, 19 May 2014

Diamond arudisha shukrani kwa blogger aliye chora picha hii na kumpa promo kura za MTV, Itazame hapa picha yenyewe

Ni tofauti kwa wasanii kurudisha shukrani kwa fans mara kwa mara, lakini mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva ambaye kwa sasa ana shindania tuzo za MTV, Nasibu Abdul aka Diamond Platnumz kupitia account yake ya Instagram ame rudisha shukrani kwa msanii na blogger aliye chora picha ku promo Diamond apigiwe kura kwenye MTV.

Katika picha hii Diamond ameandika "Lol! thanks #FEDE for this One��"
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: