Wameshauliwa
sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa ambayo hayasikii
dawa wanaendelea kupaka. Dada zetu jaman kama mungu kakuumba na vitako
vidogo kama skonzi au ngumi za mtotovumilia tu. Hivi huoni aibu hata
kidogo, leo unavitako vidogo kama vibumunda vya bakhresa kufumba na
kufumbua una makalio kama umejazwa upepo. Huogopi hata watu
watakustukia. Haya sasa kama unapenda hilo, jua na madhara yake
pia...mwenzenu amebakisha makalio yaliyoumuka na kuvimba kama viazi vya
kuchoma. SI UNAUTAKA UZURI WA MATAKO, PAKA TUKUONE KAMA HAUTAKUWA NA
MAKALIO YALIYOPISHANA SIZE.....NIMEMALIZA
MNAOPENDA MAKALIO YA MCHINA HAYA, PAKA UBABUKE MAKALIO UWE KAMA KIAZI CHA KUCHOMA...ONENI MWENZENU HUYU
published on 07:46:00
leave a reply
0 comments: