Friday, 30 May 2014

SKAFU YA MWIGULU NCHEMBA YAVULIWA KWA NGUVU


Mwigulu Nchemba ni mpenda sifa sana.Anadhani kila mwananchi anaipenda skafu yake na hivyo kumuonyesha kuwa mbunifu na wa kipekee. Awe anaheshimu mahali anapokuwa kama Bungeni, Mahakamani,kanisani na kwingineko kunakohitaji heshhima ya juu. Hongera Spika Makinda kwa kusema na kuamuru kuvuliwa kwa skafu ya Mwigulu Nchemba.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: