NEW SONG/ ALBERT - M 2 THE P ft J. MOE $PRINCE DULLY SYKES
PUMZIKA KWA AMANI ALBERT MANGWEA:
Ilikuwa tarehe 28 mey 2013, ndipo sfari ya mwisho ya Mangwea katika ardhi hii ilikamilika. Nchini afrika ya kusini Mauti yakamkuta huku ndugu yake wa Karibu M 2 THE P mpaka sasa akiwa aamini kilichotokea. Kuelekea mwaka mmoja wa kuadhimisha kifo chake ALBERT MANGWEA, huu ni wimbo maalum ulioimbwa na M 2 THE P akiwashirikisha J MO na PRINCE DULLY SYKES chini ya PRODUCER MARCO CHALLI
0 comments: