BET Nominee Diamond akipagawisha mashabiki wake wa Uingereza siku ya
Jumamosi May 17, 2014 katika Club ya Malibu chini ya BONGOUK. Diamond
alienda sambamba na msanii mwingine wa kizazi kipya ambaye yupo juu
kwenye gemu wa muziki wa Bongo Flave, Ommy Dimpoz "Pozi kwa pozi" show
ilikuwa nyomi kisawasawa.
Walimbwende wa UK wameshindwa kujizuia huku wakiwa wamepagawa na
sukari ya warembo, BET Nominee Diamond na kuwalazimu kukwea jukwaa na
kujumuika na Prezdaa wa wasafi.
Shabiki wa Ommy Dimpoz, mzee wa tupogo pozi kwa pozi akijiachia nae
siku ya Jumamosi May 17, 2014 kwenye show ya kukata na shoka
iliyofanyika ndani ya kiota cha Malibu chini ya BONGOUK na kuhudhuriwa
na mashabiki lukuki wa muziki wa bongo flava.
Shabiki akikwea jukwa huku prezdaa wa wasafi, Diamond akipagawisha
mashabiki wa UK siku ya Jumamosi May 17, 2014 jijini London, Uingereza.
Prezdaa wa wasafi akifanya vitu vyake.
Mwanabloger Jestina George akimwaga faranga kwa msanii anayekimbiza
Bongo na ambaye kwa mara ya kwanza amekuwa nominated kwenye BET award
itakayofanyika June 29, 2014 nchini Marekani.
Diamond na vijana wake wa wasafi wakilishambulia jukwaa.
Mashabiki wakishindwa kuvumilia.
Mashabiki lukuki wakufuatilai show.
Picha kwa hisani ya Ally Muhdin UK na kwa picha zaidi bofya soma zaidi
0 comments: