Saturday, 24 May 2014

WATAALAMU WA MAMBO WANASEMA KUA HUYU NDIO MSANII WA KIKE MREMBO KULIKO WASANII WA KIKE WA BONGO FLAVA.

Kwa sasa katika Bongo Flava wasanii wengi sana ni wa jinsia ya Kiume na wachache ni wa kike. Kwa upande wa kiume kuna wengi wenye mvuto au tunaweza waita vipenzi vya wadada. Mfano mzuri ni Jux, Hemed Phd na Diamond Platnumz.

Kwa upande wa wadada huko hakuna ushindani sana kwani wengi wao si wazuri sana bali ni wa kawaida. Baada ya kukaa na kukusanya maoni kutoka kwa wadau wengi walimtaja msanii Meninah kua ndio funiko kwa uzuri ukizungumzia wasanii wanaofanya Bongo Flava.

Meninah ni tunda la mashindano ya Bongo Star Search na kwa mwonekano tu ni Mrembo sawasawa. Kwa wale vidume wa kuhonga magari unaweza ukahonga V8 bila ubishi. Zifuatazo ni picha za Meninah kutoka katika ukurasa wake wa Instagram unakaribishwa kuzitazama na kisha tpe maoni yako je anafaa kua mrembo namba 1 kwa upande wa wasanii wa kike wa Bongo Flava???
http://www.bongoclantz.com/

http://www.bongoclantz.com/

http://www.bongoclantz.com/

http://www.bongoclantz.com/

http://www.bongoclantz.com/

http://www.bongoclantz.com/

http://www.bongoclantz.com/

bongoclan



SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: