Thursday, 5 June 2014

KIONGOZI WA WESTLIFE AFILISIKA


Ukiambiwa utaje kikundi ambalo lili-kick katika muziki wa R&B duniani kwenye miaka iliyopita mpaka hutoacha kulitaja kundi la ‘West Life’ ambalo lilikonga nyoyo za watu wengi kutokana na ngoma zao.
Kundi ambalo hapo mwanzoni lilikuwa linaundwa na vijana watano kama Kian Egan, Shane Filan, NIcky Byrne, Mark Feehily na Bryan McFadden. Ikiwa Shane Filan akiwa ni kiongozi wa kundi hilo kama director, muandika script na ku-manager kundi kwa kila kitu.
Hivi karibuni amekaririwa na tovuti moja nchini kwao kwamba alishindwa kumnunulia mtoto wake mdoli kwa kuwa alifilisika mpaka kiwango cha chini kwa mujibu wa chanzo cha habari .
Kiongozi huyo aliyekuwa ana utajiri wa shilingi billioni 1 ambazo aliwekeza katika magari ya kifahari na nyumba kwa sasa hana hivyo vyote.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: