Wednesday, 4 June 2014

New Video: 50 Cent – Animal Ambition

Masaa machache kabla ya kuachia albam yake mpya ‘Animal Ambition’ 50 Cent ameachia video mpya ya wimbo uliobeba jina la albam hiyo. 50 anawatishia maadui zake kuwa wasijisogeze kwenye pesa zake kwa kuwa yeye ni mkali kama chui
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: