| Wachezaji wakishuka katika basi la Hood baada ya kuwasili mjini Moshi. |
| Furaha ilikuwa kubwa katika eneo hilo mara baada ya timu kuwasili. |
| Kama vile viongozi wa timu hawaamini kuwa wako katika ardhi ya nyumbani Moshi . |
| Wachezaji wengine walikuja kupokelewa na wazazi wao. |
| Baadhi ya wachezaji wakiwa nje ya jengo la Posta katikati ya mji wa Moshi walipoteremka mara baada ya kurejea wakitokea mkoani Mbeya. |
| Makocha wa timu ya Panone fc ,Jumanne Ntambi na Atuga Manyundo wakiteta jambo wakati wa chakula cha mchana kwa timu hiyo katika Mgahawa wa Fresh Coach. |
| Wachezaji wa klabu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakiwa katikaMgahawa wa Fresh Coach wakipata chakula cha mchana kilichoandaliwa na uongozi wa Kampuni ya Panone Ltd. |


0 comments: