Thursday, 5 June 2014

UNAWEZA NIAMBIA DEREVA WA GARI HILI KABLA YA KUIGONGA BENKI YA CRDB ALIKUNYWA POMBE GANI??



Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD bila hodi. Picha na Taarifa News

post written by:

Related Posts

0 comments: