Mtoto huyo wa kike mwenye umri wa miaka 14 anaefahamika kwa jina la
Jaya Kelly, hivi sasa anaitwa Jay Kelly na anaonekana kujuta kuzaliwa
msichana.
Hata hivyo, ameona bado hajachelewa na amebadili muonekano na aina ya
maisha yake. Jay Kelly ni miongoni mwa watoto watatu wa R Kelyy aliozaa
na Andrea. Wengine ni Joann Kelly na Robert Kelly Jr.
Huu ni muonekano wa sasa wa Jaya aka Jay:


credit : sammisago
Huu ni muonekano wa sasa wa Jaya aka Jay:
credit : sammisago
0 comments: