Stori kubwa kutoka Morogoro leo July 01
2015 inahusu ajali ya basi aina ya Isuzu lililokuwa limepakia abiria
ambalo limegongana na treni katikati ya Stesheni ya Kimamba na Kilosa.
Ajali imetokea leo saa tano asubuhi,
watu wanne wamefariki na kuna majeruhi 21 ambao walikimbizwa Hospitali
baada ya kutokea kwa ajali hiyo… Majeruhi walipakiwa kwenye treni
kuwahishwa Hospitali.
Hizi ni picha nilizozipata kutoka eneo la ajali hiyo Morogoro.
Stori nimeitoa >>>>MICHUZI BLOG
0 comments: