June 01 2015 story kutoka Uingereza inahusu record ya juu ya joto ambayo haijawahi kutokea kwa kipindi cha kama miaka 10 hivi.
Kiwango cha joto imefikia degrees 36 za Centigrade..
Kiwango hiki cha joto mara ya mwisho kilirekodiwa mwaka 2006, leo
imetokea tena.. ninazo pichaz zinazoonesha hali ilivyo maeneo
mbalimbali.

Mbwa wameachwa kwenye gari, joto limezidi nao wanapata hewa kwa dirishani

Hawa wako zao wanaangalia Mashindano ya Tennis ya Wimbledon, imebidi wajifunike mataulo ili kujikinga na jua.

Wengine wanajipooza kwenye swimming pool

Hii ni post iliyowekwa @Twitter na Mamlaka ya Hali ya Hewa Uingereza.

Hii ni post nyingine ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Uingereza kwenye ukurasa wao wa Twitter.

Hii ilikuwa mwaka 2003, record ilionesha Kiwango cha Juu cha joto ilifika mpaka degree 38.5 Centigrade.
0 comments: