Kajoli Masai |
Kajoli masai ameshawai kutamba na vibao mbalimbali kama Garma wa town aliyomshirikisha mwanadada Queen A ,Laleyo , Ndani ya club ambayo ameshirikishwa na msaniiHard B a nyingine nyingi ambazo ukisikiliza utakiri kuwa kuna mapengo yenye spea
Ukiachia mbali nyimbo hizo pia ameshawai kutoa wimbo unaohusu gonjwa la ukimwi ili kuhamsisha watu kujilinda na gonjwa hilo ulioitwa GONJWA LA UKIMWI
Kwa sasa kajoli masai anatamba na wimbo wa TAPELI aliomshirikisha tena mwana dada Queen A na Garma wa town ambao umekuwa na mafanikio makubwa katika muziki wa kizazi kipya ambayo unaweza kuidownload kwa kubonyeza hii link https://mkito.com/song/tapeli-ft-queen-a-garma-wa-town/14663
NYIMBO ZOTE WAWEZA DOWNLOAD KWA KUBONYEZA JINA LA NYIMBO KATIKA STORI
0 comments: