Friday, 3 July 2015

Hali ya mwimbaji Banza Stone sio nzuri, imebidi apelekwe Hospitali akatibiwe..


Hali ya kiafya ya Staa na mkongwe wa muziki wa dance Tanzania, Ramadhan Masanja aka Banza Stone sio nzuri, anaumwa kwa muda mrefu na wapo ambapo waliofikia hatua hata ya kumzushia mitandaoni kwamba amefariki.
Team ya millardayo.com ilifika nyumbani anapoishi, Sinza Dar es Salaam na kumkuta pamoja na ndugu zake, alikuwa anaumwa lakini aliongea pia kinachomsumbua.
unnamed IIINimeambiwa kwamba kwa sasa hali yake sio nzuri, imebidi ndugu wampeleke Hospitali Mwananyamala ili akapate matibabu zaidi.. nina picha pia akiwa Hospitali, na wapo waliojitokeza kwenda kumjulia hali.
unnamed
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: