Inasikitisha, Inauzunisha, Inakatisha tamaa pia.. Najua utashindwa tambua ni uchungu kiasi gani uyu mtoto anaoupata, umri wake na haya anayopitia.
.. kaa na utafakari Ukuu wake Mungu kwa mazuri anayo kufanyia, ..Je, umempa nini Mungu mpaka Haya usiyapitie na yampate huyu mtoto.??
..WATANZANIA CHUNGENI SANA AMANI MLIYONAYO.
..VINGINEVYO IPO SIKU MTAJUTA SAN
Maoni Yetu
YAANI
KILA NITAZAMAPO HII PICHA NASHIKWA NA UCHUNGU HADI MACHOZI
HUNITOKA.HUWA NAICHUKULIA KAMA VILE NDO IMENITOKEA MM HALAFU NIKO NA
MWANANGU HALAFU NDO HIVYO NIMEFIA JANGWANI KWA NJAA NA MATESO HALAFU
NIMEMWACHA MWANANGU PEKE YAKE.INAUMA INAUMA SANA JAMANI
0 comments: