Kumfunga mdomo Floyd Mayweather si rahisi. Lakini mwanamuziki wa miondoko ya R&B Rihanna
a.k.a Riri alijaribu bahati yake kumnyamazisha Mtu Pesa na akafanikiwa,
wakati wawili hao walipokuwa wameketi jirani katika tuzo za BET usiku
wakuamkia tarehe 29.
Nyota wa muziki wa R&B, Rihanna
alifanya hivyo ili kumzuia mkali huyo wa makode asiendelee kuongea ongea
akiwa shughuli kwenye hiyo.
The money Mayweather alikuwa anashindania kipengele cha mwanamichezo wa kiume wa mwaka lakini alipigwa chini na Stephen Curry.
![]() |
Stephen Curry |
Sherehe za tuzo hizo ambazo huandaliwa na Televisheni ya Burudani ya Burudani za Watu Weusi 'Black Entertainment Television Awards 'zilifanyika
katika ukumbi wa Microsoft Theatre mjini Los Angeles, California, na
watu maarufu Wamarekani weusi wakiwemo wanamuziki, waigizaji, waimbaji,
wanamichezo na wengineo walihudhuria.
PICHA ZAIDI
![]() |
AKIWA ANAJIANDAA KUMFUNGA Mayweather |
![]() |
RIHANA AKIMFUNGA Mayweather |
![]() | |
RIHANA KAMALIZA KUMFUNGA Mayweather | jimmcarter |
0 comments: